Nataka kuanza kusoma masomo ya sekondari kupitia elimu ya watu wazima

Mwaka 2005mwalimu mchungaji komba aliamua kumuandikisha mke wake fom one ktk shule ya kolila , mkp tunapozungumza sasa HV Yule mam Ni headmaster wa shule moja hapa mpwampwa ddm
Upo mpwpw sehem gan dr. Nipo hapa kikombo
 
Hakuna jipya huko secondary. Kama unajua kusoma na kuandika, english na hesabu kidogo inatosha sana.
Muhimu ni kuwa karibu na teknolojia utajifunza mengi kuliko huko mashuleni.

Muhimu zaidi tafuta pesa shule ni utapeli
 
Mwenzako kapokea matokeo yake ya form six jana
 
Hakuna jipya huko secondary. Kama unajua kusoma na kuandika, english na hesabu kidogo inatosha sana.
Muhimu ni kuwa karibu na teknolojia utajifunza mengi kuliko huko mashuleni.

Muhimu zaidi tafuta pesa shule ni utapeli
Sawa we cha kufanya usipeleke wanao shule. Wafundishe kusoma na kuandika kisha peleka English course wasome na hesabu utakuwa umefanya vyema mkuu. Wakimaliza tu hilo darasa la sita.

Shukran.
 
Ndio naweza fanya hivi nikawapatia maarifa muhimu ya maisha na wakamuacha huyo mwanao anaeenda shule kukaririshwa akimaliza aje alilie ajira
 
Back
Top Bottom