Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,253
Kulingana na uzoefu wangu pombe kiasi sio mbaya sana i'm 35+ years
kwenye pombe kiasi kuna advatange sana kama hizi
1- unakuwa na marafiki kibao
2. Ni rahisi sana kupata michongo ya ukweli
3. Kupunguza mastress ya maisha
4. Afu nasikia inaongeza hamu ya kugegeda kwa hiyo ndoa inakaa poa.
Je ni kiasi gani cha bia kinatosha kurefresh mind? Hasa weekend.