Hey...nakushangaa Bwana Isimilo unaposema katiba ya JMT haimtambui Obama...Umeshawahi kusikia US wanahitaji kutambuliwa na serikali yoyote wanapotaka kufanya ishu yao mahali?...Je serikali na katiba ya Libya ilikuwa inaitambua Merikani kipindi hicho ilipotandikwa?, na nchi nyingi za hapo Gulf zina vipengele kwenye katiba vinavyoihusu Merkani?
Wale wanarekebisha tabia upende upende!