Nataka kuagiza gari na AUTOREC

Nataka kuagiza gari na AUTOREC

kwa hiyo unasema Be Forward weka mbali na watoto? ficha kabisa juu ya dari wasifikie?

Beforward ni kimeo, mi nimeagiza gari kutumia Beforward hadi nimejuta. Kwenye bodi kulionekana kama kuna scratch kumbe siyo scratch ila bodi imerika na kutu mpaka imetoboka. Wamebandika plastic materials na kupiga picha.
Mbaya zaidi hata nilipowatumia picha za khali ya gari walikiri kutokujua kama ulikuwa hivyo lakini hawakuwa na msaada wowote.
Sometimes cheap is expensive!
 
Tumia Trade car views, hawa wapo poa mimi niliwatumia hawa.
 
Back
Top Bottom