Mkuu asante sana kwa ushuhuda wako,na kujitolea muda wako kuandika huu ushauri wako.Nakuhakikishia kuwa ntaufanyia kazi.Kuhusu elimu ya chuo,hilo lisikupe taabu mkuu,elimu ya chuo siku hizi ni elimu tu kama ya Madrassa uliyoyasema hapo awali.asante sana kwa ushauri wako!.Pia naamini kwamba uzi unapowekwa hap Jf,unawekwa na mtu mmoja ila unawanufaisha watu wengine maelfu huenda hata zaidi ya aliyeuweka.MIE NILIFANYA HIVYO 2008 JULY 21. NAKUMBUKA NILIMWAMBIA WIFE HUU NDIO MSHAHARA WA MWISHO SOO USITARAJIE KUNIONA NAPOKEA MSHAHARA..ISHI KISAIKOLOJIA KUWA MUME HANA KAZI NA FAMILIA INATAKIWA IENDE...TUPO MJINI JIANDAE KUPIKIA KUNI, JIANDAE KUTIMULIWA NYUMBA YA KUPANGA, JIANDAE KILA KITU KUYUMBA...
BAADA YA MIEZI 6 NIKAGUNDUA NIMEWEZA KUWEKA AKIBA BADALA YA ZAMANI NILIKUWA NADAIWA MADENI PESA HAITOSHI KILA SIKU DUKANI KWA MANGI UNATIA MISALA UNAICLEAR MWISHO WA MWEZI.
PEOPLE FEAR WHAT THEY DO NOT UNDERSTAND...AND...FIGHT THE WAR THEY CAN NOT CONQUER...
A MAN WAS BORN TO DIE CONTINUOUSLY AND START AFRESH......
MPAKA LEO SIJUTII KUACHA KAZI JAPO ZIPO SIKU MAMBO YANAKUWA MAGUMU ILA SIO KWA SABABU MUNGU HAKUNIPA RIZIKI ...HAPANA.. ILA NI KWA SABABU RIZIKI NILIYOPEWA NILIITUMIA VIBAYA KUSHINDWA KUNIFIKISHA SIKU YA RIZIKI NYINGINE.
NAOMBA MLETA MADA USOME USHUHUDA WANGU HUU NA HIZO QUOTES ZA KISHUJAA ZIKUTIE NGUVU KUFANYA MAAMUZI.
UKIMALIZA CHUO KIKUU TUNATARAJIA UWE NA UWEZO MKUBWA WA KUYATATUA MATATIZO KULINGANA NA MAZINGIRA YALIYOKUZUNGUKA...KINYUME CHA HAPO ELIMU ULIYOIPATA HAIKUSAIDII KITU NA PIA UNAKUWA HUJAELIMIKA...UMEPITA CHUO KAMA WANAOPITA KUJIUNGA VIFURUSHI VYA CHUO.
mkuu mi mwenyewe niliacha nlijikuta hela naishia kulipa madeni, nauli na kula na unaowasikia mafisadi na wizi chanzo ni maslahi madogo wanaongeza kipato kwa njia za hatar mala mhasibu kazidisha sifur mala mkaguz anataka pesa akubebe mwanzo maisha yalikuwa magumu saiv nasonga na hata waliotoboa maisha ni wale wenye usubutu na kujituma siamini kama MUNGU KAUMBA KIUMBE CHAKE KITESEKE maisha si lazima kuajiriwa tujue na kujiajiri.
USIMTISHE MWENZIO
Wapo waliodhubutu na sasa hv wana maisha mazuri zaidi ya walioajiriwa miaka 30..........
Acha uoga
tatizo mkuu kuanzisha biashara wakati unafanya kazi kwa mhindi ni ngumu sana,huwezi kupata hata huo muda wa kufuata viazi mbatata huko Mbeya ulete Dar.Unaonekana unaogopa mtaani, kwamba kuna ukosefu wa ajira!
Sasa kabla hujaacha kazi, jiandae vizuri, andisha biashara iendeshe huku ukiwa bado umeajiriwa mpaka uhakikishe hiyo biashara inaweza kuendesha maisha yako hapo ndipo uache kazi, kitaa ni kigumu sana kama huna confidence
Ubarikiwe sana mkuu kwa kutoa muda wako na maarifa yako kwa manufaa yangu na wengine pia.Mkuu,ushauri wangu usiache kazi ghafla kabla hujasuka mikakati ya shughuli utakayoifanya baada ya kuacha kazi,kujiajiri ni jambo la busara sana japo lina changamoto kubwa ya ubunifu na ili ufanikiwe katika hii sekta inabidi uishinde hii changamoto ya "ubunifu" kuepuka kufanya anachofanya mwingine kwa level ileile,kaa chini Fanya utafiti wa kutosha juu ya unachotaka kufanya kisha anza kuendesha huo mradi wako ukiwa kazini na utapoona mradi wako umekakamaa unaweza kusimama kwa miguu yote miwili hapo nakushauri acha kazi rasmi jikite kwenye miradi yako,ila kubwa kuliko yote mtangulize MUNGU katika kila unalotaka kulifanya uombe hekima na busara zake zikuongoze
Suala la pesa ya muhindi kuwa haifanyi jambo la msingi nafananisha na ule usemi wa pesa ya boom la chuo huwezi fanyia jambo la maana zaidi ya kununua nguo na subwoofer, mkuu hilo suala lipo kiimani sana na ukweli ni kwamba tunasahau kwamba 10% ya mapato yetu kila siku ni Mali ya MUNGU hivo yapasa tumrejeshee yeye mwenyewe,mkuu nakuhakikishia hakuna ulinzi mzuri wa mapato yako zaidi ya kumtolea BWANA fungu la kumi pesa zako utaziona utamu wake na utaztumia as ulivopanga bila ufujaji wa nia ovu ya shetani.
Anza ata ufugaji wa kuku, unaweza kukodi banda,ukatafuta kijana au mke awasimamie, kuku wa nyama au wa Mayai,tatizo mkuu kuanzisha biashara wakati unafanya kazi kwa mhindi ni ngumu sana,huwezi kupata hata huo muda wa kufuata viazi mbatata huko Mbeya ulete Dar.
POINT MKUUHEBU FIKIRIA KAMA SIO UTUMWA NI NINI WAZIRI NI PROFESA ANATUMIWA WATU WAENDE KUMREKODI AKILALAMIKA ALICHOPEWA HAKIKIZI MAHITAJI ILI AFUKUZWE KAZI JE HUO SIO UTUMWA NA AIBU? TATIZO ELIMU YETU TUMEANDALIWA KUWA WATUMWA SIO WAVUMBUZI NA KUJITEGEMEA.
HEBU TUJARIBUNI VIJANA SAIV TUNAENDA KIPIND CHA MAVUNO BAADHI YA MIKOA NA TUNASIKIA NCHI JIRANI TAYAR WANALALAMIKA NJAA JE HIYO SIO FURSA? TUJARIBUNI SERIKALI ITUPE KAMPANI.
Hii comment imebidi nicheke tu hahaha ni kweli kabisa mkuuYule aliyekushauri uombe ndiye anapaswa kukushauri wakati huu unaacha kazi
Mkuu Tutor B nahitaji tuongee inaonekana wewe ni msaada sana nachotaka kufanya wewe tayari umefanyaKwanza pole sana!
Pili ..... (Kuna kalugha nakasikia mtaani kwamba pesa ya mhindi huwezi kuifanyia chochote) .. kuhusu hili binafsi niliwahi kulisikia ila inasemekana kwamba ili uifanyie kazi hiyo hela kuna namna unayopaswa kuifanyia .... kama uko tayari kujuzwa tuwasiliane ...
tatu, binafsi nilishahachana na mambo ya kuajiriwa zaidi ya miaka 5 iliyopita .. kuna msoto kidogo kama wa miezi sita hivi .. baada ya hapo hutapenda ajira tena, .... we piga kazi za mikataba beba kilicho chako, fanyia mambo mengine ya uzalishaji ... mdogo mdogo utasimama ndugu ...
Usimkatishe tamaa ndugu,kuajiliwa ni utumwa na kubeba hofu kubwa ktk maisha.unaweza ajiliwa kutafuta kianzio tu kama pesa ya kuendesha biashara zako na kilimo.ajira ni kelo,hofu,ufinyu wa mawazo,kupoteza network ktk jamii na kuilaza akili kwa kufikili jambo moja tu kila ukiamka,hapa mimi nimechukua likizo kazini na sirudi tena huko,nawaandikia notice ya mwezi m1 nachapa mwendo,ntaendesha hata taxi mtaani bola tu iwe yangu na nyingine nimpe mtu mwingine,naweza nunua hata gari tatu nikakaa kijiweni.mtoa mada songa mbele piga chininaomba niamdike ushauri Wang kwa Herefi kubwa .
USITHUBUTU ,USITHUBUTU,USITHUBUTU ...KUACHA KAZI . TENA KAMA HAUNA KAZI NYINGINE ..
USITHUBUTU UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE