Zipo nyingi tu madukani, usipende kununua simu kwa watu (mbali na dukani) usiowafahamu maana unaweza kujikuta umenunua simu iliyotumika kwenye uhalifu ukawa matatizoni!
Btw: Neno "ya kununua" kwenye heading yako ni redundant, hivi kuna mtu kweli angeamini unatafuta simu ya bure usingeliweka?