Ingia appstore download app inaitwa parallel space itakusaidia kuweka instagram na whatsapp zaidi ya mojaWakuu salama,
Nahitaji whatsup apps zaidi ya moja kwnye simu yangu. Yaani hii official whatsup na either business or gb whatsup.
Naomba maujanja yenu wadau nafanyaje kwa simu yangu hii iPhone 6s plus?
Ahsante sana [emoji120]
Ahsante sana mkuu, naona akili ndogo wenzangu wame comment na ku concludes huko juu kama kawaida [emoji28]
Ahsante sana mkuu, naona akili ndogo wenzangu wame comment na ku concludes huko juu kama kawaida [emoji28]
Hata hivyo bado hutaweza kupata gb WhatsappAhsante sana mkuu, naona akili ndogo wenzangu wame comment na ku concludes huko juu kama kawaida [emoji28]