Fanya hivi jipe uvumilivu wa miezi 8 hiyo mil tafta fixed account kaweke kila mwezi. Mwezi wa nane utakuwa na gari. Unanunua cashHabari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.
Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa installment ambapo nitakua nalipa million moja kila mwezi mpaka gharama halisia itakapo malizika ndipo atanikabidhi kadi ya gari ....Tafadhali kwa aliyeko serious tutaftane kwa nambari 0759212578
Akope tu bank kwa kua ni mtumishi wa ummaFanya hivi jipe uvumilivu wa miezi 8 hiyo mil tafta fixed account kaweke kila mwezi. Mwezi wa nane utakuwa na gari. Unanunua cash
Nakushauri,usinunue gari kwa ajili ya kwenda nayo kazini,utachelewa sana.Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION Nk.