Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,274
- 5,938
Wabongo kwakupangiana maisha eti asinunue gari kama haimuingiziii kitu kwani kakwambia anataka gari imuingizie kitu. Alaa!
Kila mtu aishi maisha yake. Hata kama analala jikoni akitaka gari acaha anunue we live only once. Mbona nguo unanunua zinakuingizia nini?
Mkuu we kopa nunua gari kama ndio hitaji lako la sasa hata kama huna nyumba nunua ndio takwa lako. Umepanga umeona yafaa, bila kutoa reason sijui ya clinic wala nini hata ya kupigia misele wewe nunua. Uwezo si unao bana asikupangie mtu cha kufanya
Watanzania wamekuzwa kwenye tamaduni za kumpangia mtu maisha. Utasikia unanunua brevis hilo linyonya mafuta kwani nimewaambia mafuta yameisha vituoni au shida ni mafuta.
Labda sasa nikushauri kakopee mshahara agiza gari. Mkuu agiza crown roho yako ikikutuma, agiza passo roho hako ikipenda hata VX kama una uwezo nayo we agiza kilaza hata ccm utalaza, maisha siku zote ni vile unafuraia wewe na mwenza wako.
Maisha ni yake yanakupa kufikia satisfaction of your soul. Mimi na mke wangu tukiona gari mtandaoni tunaipenda tutanunua bila kujali sijui model hii spare hakuna, sijui mbona Tanzania haipo. Ikiharibika spare hakuna tuta park tutaagiza. Ila roho zetu zimesuuzika