Nataka gari la mkopo

Nataka gari la mkopo

Eduin

Senior Member
Joined
May 15, 2014
Posts
189
Reaction score
136
Yule anajua taasisi au kampuni yenye kunikopesha gari nzuri lisilozidi 9 nitakua narejesha kama laki 2-3 kwa mwezi. mwajiri wangu kakubari kuwa mdhamini wangu.
 
Miaka miwili na nusu yaani miezi 30.... unakatwa 300,000 + riba. Bima ya gari kama kwa mwaka 400,000 ambayo ni jumla ya 1,000,000 kwa, matengenezo na mafuta, mengineyo huko barabarani........ Huo mshahara wako utabaki ngapi kila mwezi?? jitahidi dundulizaa weeeee ununue usikope.....
 
Kweli hii mikopo ya magari inawaliza sana hawa watoto wanaotoka vyuoni wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza
kwani mshahara hautoshi, kwa maisha yao ya anasa, kujaza mafuta service ya gari mwishowe wanauza gari 10 milioni Gari la 18M ili tu amalize Deni la Mkopo
 
nikikwatwa 300k nabakiza 450k hivyo fresh kwangu ata miaka 10
 
Kweli hii mikopo ya magari inawaliza sana hawa watoto wanaotoka vyuoni wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza
kwani mshahara hautoshi, kwa maisha yao ya anasa, kujaza mafuta service ya gari mwishowe wanauza gari 10 milioni Gari la 18M ili tu amalize Deni la Mkopo
nitake radhi, nmemaliza chuo 2014, nmekopa nmejenga nnamashamba na madeni yote nmemaliza, bado gali tu, mama yako mjamzito nataka gali awe anaenda kliniki
 
Niwie radhi Edwin mwanangu, nakushauri usikope gari kopa pesa, ingia mitandaoni magari kibao, utakopeshwa gari usillolitaka chukua pesa mkononi (hiyo miezi 30 x 300,000/= 9,000,000/=)
 
Miaka miwili na nusu yaani miezi 30.... unakatwa 300,000 + riba. Bima ya gari kama kwa mwaka 400,000 ambayo ni jumla ya 1,000,000 kwa, matengenezo na mafuta, mengineyo huko barabarani........ Huo mshahara wako utabaki ngapi kila mwezi?? jitahidi dundulizaa weeeee ununue usikope.....
Mwambie huyo...
Siku hizi kuna hadi baisikeli za umeme zinauzwa mil 2

Kama iaaue ni {vikwapa, boxer,Chupi na Soksi ndani ya daladala/mwendokasi...basi ununue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro, lak450 natumia vzr tu mno kwa mwezi hio ni kula tu mengine nishayaseti

Kama ni hivyo kwa nini ukope?????? jipange vizuri ndani ya miezi 10 utakuwa umenunua lako
 
Back
Top Bottom