Wadau nataka gari used ambayo ipo katika hali nzuri sana kwa Budget ya 12~13 M.
Machaguo yangu
PREMIO F
RAV4 kilitime
Masharti.
1. Sihitaji dalali nahitaji muuzaji awe mmiliki halali kwa documents
2. Isiwe imerudiwa rangi au ina historia ya ajali
3. Isiwe na tatizo lolote kwenye bodi, injini au gear box
Ili kuepusha mlolongo mrefu masharti hapo juu yazingatiwe
Hawa hawakawii kuwambia gari ilikuwa unaendeshwa na mdada kutoka mbezi to posta kazini na kupaki , kumbe jamaa alikuwa anashinda nayo milimani huko upareni imeletwa dar kuuzwa tu ππππ
Hawa hawakawii kuwambia gari ilikuwa unaendeshwa na mdada kutoka mbezi to posta kazini na kupaki , kumbe jamaa alikuwa anashinda nayo milimani huko upareni imeletwa dar kuuzwa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]