Nataka gari aina ya Passo

Nataka gari aina ya Passo

Bible

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
136
Reaction score
8
Nina 3mil nataka Toyota passo nipo Mwanza.0714620133
 
watakuja tu watu wanagari nyingi sana kutupa moja kitu cha kawaida sana
 
Passo kwa 3 M mkuu, utauziwa kibovu au kilichobizwa. Good things cost. Weka pesa kwa Fixed deposit jichange ikifika 6 M unapata gari zuri sana
 
Ukitaka kununua gari tafuta iliyo na hali nzri na siyo vigari vibovu vitakusumbua uone dunia chungu.mtafute yule wa 4.5 anaweza akakupa gari nzri
 
Pesa itaisha jamani Balim zinanitamanisha sana,mwenye Gari naomba ajitokeze.
 
Huwezi kupata Passo kwa bei hiyo. Bei yake inaanzia 6m/-.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom