Ndugu wana jamii forum,
Hii ni kwa mabinti tu. Nimechoka na upweke. Hivyo nataka binti au demu wa kuspendi naye good time.
- Awe mrembo
- Awe juu ya miaka 18
- Asiwe mke au mchumba wa mtu
- Awe amemaliza chuo au diploma
- Awe tayari kupima VVU
Mimi sijali kama anadeka au la. Ni yeye tu.
PM tu zitajibiwa. Usijisumbue kupiga madongo maana sitasoma