Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,138
na mim nataka mkuuNicheki 0742159555
weka mawasiliano....alafu ni kiasi gani kinahitajika....nikuletee mpaka ulipo.......njoo PM kwa ufafanuzi zaidiWana JF
Nataka Supply wa Dagaa wa mwanza aliyetayari kuniuzia, nipo Dumila na Temeke Dar es salaam
Karibuni.
Bei ya kilo ni kiasi gani???Pia mimi ninao wale ambao wameshakaangwa tayari unakula mpaka vichwa,hawana mchanga unaweza ku pack na kuuza supermarket pia wamechumvishwa,karibuni.
nipo dar juml ana reja reja.(ambao wako kwenye paketi nauza buku kwa mlaji na 700 kwa muuzaji
Namba plzPia mimi ninao wale ambao wameshakaangwa tayari unakula mpaka vichwa,hawana mchanga unaweza ku pack na kuuza supermarket pia wamechumvishwa,karibuni.
nipo dar juml ana reja reja.(ambao wako kwenye paketi nauza buku kwa mlaji na 700 kwa muuzaji