Mkuu unataka machine gun? Unaweza kuwa na machine gun badala ya kuwapiga majambazi ukakimaliza kitongoji chako manake ile inakohoa. Na kama ni ile ya ku mount sijui utai mount chumbani ama uwanjani kwako!
hapo ndipo jambo ya kuwajibika linapokuwa na umakini.Km naweza kuwa makini nisiweke sumu ktk maji,km siwezi kuwa mchawi,km naweza pita sokoni panapouzwa visu kibao na bado watu tunaamini wauza visu wa wachinjaji ktk mabucha hawawezi tudhuri kwanini tudhani kuwa kila mtumia bunduki ataenda ua?kuwa na bunduki kunaweza kusiue watu km mtu anayewpitisha gari kwa kasi kubwa katikati ya msongamano wa watu. Hadi sasa hapa TZ bar salama zaidi ni zile zilizo wazi na wanywaji wao ni matajiri ambao wote wana bastola mifukoni.Hizo huwa wezi hawapaendi kwenda na kuwaambia laleni chini halfu wawapite wote waende counter kuchukua pesa.Ktk dunia hii ya ugaidi.Askari hadi wafike ktk makanisa au misikiti au shule gaidi atakuwa kamaliza watu.Ila km raia wanazo na wakwajibika.gaidi ataishia kuua alioanza nao.Na si rahisi kuteka watu na kutokomea nao km boko haramu kirahisi.Mkuu unataka machine gun? Unaweza kuwa na machine gun badala ya kuwapiga majambazi ukakimaliza kitongoji chako manake ile inakohoa. Na kama ni ile ya ku mount sijui utai mount chumbani ama uwanjani kwako!
unaposema mashine gun unafanyya uzi uwe wa utani.Nitanunua halali ktk maduka halali ,ile wanayoruhusu.Ila ningependa ya juu zaidi.Otherwise ikibidi si kitu kigumu kutengeneza.Kufanya reverse enginieering si kitu ngumu.
CCM imefanya kila kitu muone utani.Hata michango yenu inahitaji msaada...maarifa yako yote ya UFAHAMU (compehension) uliyosoma shule.Umeona kipande cha heading ndicho kinabeba the bigger picture ya kilichonadikwa.Hii ndio elimu ya CCM..unaposema mashine gun unafanyya uzi uwe wa utani.
Ndio unasema nini sasa.Hata panga likibwa linaweza ua watu wengi sana km mtumia ni fundi mzuri na wahanga wake ni wanyonge.Hivi mashine gun ipi mnayo izungumzia au mnasikia tu mdomon hya mm huko simo ikiibiwa hiyo moja mnaona watu wanavyoangaika na magwanda kuisaka
Ndio unasema nini sasa.Hata panga likibwa linaweza ua watu wengi sana km mtumia ni fundi mzuri na wahanga wake ni wanyonge.
Tatizo langu ni hiyo Machine gunhapo ndipo jambo ya kuwajibika linapokuwa na umakini.Km naweza kuwa makini nisiweke sumu ktk maji,km siwezi kuwa mchawi,km naweza pita sokoni panapouzwa visu kibao na bado watu tunaamini wauza visu wa wachinjaji ktk mabucha hawawezi tudhuri kwanini tudhani kuwa kila mtumia bunduki ataenda ua?kuwa na bunduki kunaweza kusiue watu km mtu anayewpitisha gari kwa kasi kubwa katikati ya msongamano wa watu. Hadi sasa hapa TZ bar salama zaidi ni zile zilizo wazi na wanywaji wao ni matajiri ambao wote wana bastola mifukoni.Hizo huwa wezi hawapaendi kwenda na kuwaambia laleni chini halfu wawapite wote waende counter kuchukua pesa.Ktk dunia hii ya ugaidi.Askari hadi wafike ktk makanisa au misikiti au shule gaidi atakuwa kamaliza watu.Ila km raia wanazo na wakwajibika.gaidi ataishia kuua alioanza nao.Na si rahisi kuteka watu na kutokomea nao km boko haramu kirahisi.
Kwanini iwe tatizo kwako na isiwe msaada kwa wamasai walioshikiwa chini na wasomali walioishika Loliondo kipindi kile kwa kuwa na machine gani..huku wakiwa hawaheshimu sheria ya TZ.Kwanini iwe shida kwako na isiwe msaada kwa wakulima wa Kilosa ambao wanatawalwa na wafugaji kwa vile wao wana silaha na kila mmea unaolika na ng`ombe ni halali ya ng`ombe huku polisi wetu wakifanya siasa kwa kuwataarifu wakulima wahamie ktk guest house mjini kabla operation zuga haijapita.Sidhani km wakulima wangekuwa na moto wangeenda iba mifugo na si kuwaadabisha wafugaji ambao wangejifunza kufuga kitaalamu au kuuza mifugo?Kwanini isiwe msaada kwa raia waliouwawa wakirudi nyumbani na kukutana na majambazi walioamua kumua just because kauliza nimesikia risasi huko naweza pita hii njia kurudi nyumbani?Kwanini wananchi tubaki tumefungwa wakati wahamiaji wakiwa wameachiwa huru,na polisi wetu huwa hawataki kabisa kuwahi ktk tukio linalohusu silaha..hawa wageni waka AKs tuu.Tatizo langu ni hiyo Machine gun