Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Oct 20, 2012 #1 wakuu naombeon mnijuze jinsi ya kubypass password protected wifi
e2themiza JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 974 Reaction score 564 Oct 20, 2012 #2 first jaribu hizi: 0987654321 1234567890 1122334455 Trust me mara nyingi nakuta watu ndo pass zao lol!
first jaribu hizi: 0987654321 1234567890 1122334455 Trust me mara nyingi nakuta watu ndo pass zao lol!
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Oct 20, 2012 Thread starter #3 ngoja njaribu mkuu
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,685 Oct 20, 2012 #4 huwezi kufanikiwa mtafute huyo mwenye hiyo wifi akupe password. Acheni uvivu wa kufikiri
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,526 Oct 21, 2012 #5 jaribu kuweka namab zake za simu wengi hutumia namba za simu
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,628 Oct 21, 2012 #6 huu ni wizi, unataka kutumia za watu kuibia watu online au? kuna kujua nani mwizi, shauri yako.
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,407 Oct 21, 2012 #7 Saint Ivuga said: huwezi kufanikiwa mtafute huyo mwenye hiyo wifi akupe password. Acheni uvivu wa kufikiri Click to expand... hehe! umeona mkuu!. yaani ni kitendo cha kwenda kubisha hodi na kuomba password
Saint Ivuga said: huwezi kufanikiwa mtafute huyo mwenye hiyo wifi akupe password. Acheni uvivu wa kufikiri Click to expand... hehe! umeona mkuu!. yaani ni kitendo cha kwenda kubisha hodi na kuomba password
e2themiza JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 974 Reaction score 564 Oct 21, 2012 #8 Viper said: hehe! umeona mkuu!. yaani ni kitendo cha kwenda kubisha hodi na kuomba password Click to expand... Na atatoa tu iyo password?
Viper said: hehe! umeona mkuu!. yaani ni kitendo cha kwenda kubisha hodi na kuomba password Click to expand... Na atatoa tu iyo password?
mshihiri Senior Member Joined Jul 15, 2011 Posts 138 Reaction score 89 Oct 21, 2012 #9 http://www.backtrack-linux.org/