demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Haya mambo ya usajili bhana. Huyu Jamaa ameshajiona ndio Mkubwa kuliko klabu ya wale wapigaji.
Na ameshajua kuwa huku bongo akikohoa tu, watu wanachanganyikiwa juu yake!
Ndio ubaya wa mchezaji kuonyeshwa kuwa ni lulu kuliko wachezaji wote waliowahi kupita klabuni pale.
Kaambiwa anataka Ngapi, kasema 110/- mil.
Wapigaji wakasema chukua 70/- ambazo tulitaka tumpe migomba.
Akasema nipeni 100/- basi.
Wakajibu Chukua 70/-
Sasa akasema basi nipeni 80, Nyumba (self contained) Posta. Salary M5 monthly, Gari safi ya kusafiria (Brevis).
Je watakataa? wakikataa ni aibu kwa mashabiki na wapenzi wao.
Tuone itakuwaje...Ameshatamka yake Twitani kule.