Kuna moja ni online platform naitumuaga kwenye kaz zangu ila inafanya vzuri zaidi kama mzungunzaji ni native US, Canada, Australia, Britain, kwa wengine kutokana na matamshi sometines inakosea.
Nitakutumia nikiwa kwenye pc link nimeisahau.
Iko accurate sana uwa inanisaidia katka kazi za kutranscribe mahojiano.