Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa umri 24mpk 31, awe hajawahi kuzaa wala kuolewa, awe mweupe mimi na miaka 30 elimu yangu ni kidato cha sita naishi Pwani.
Aliekwambia nani kuna mke online??? We angalia maeneo unapopenda kutembelea mke yumo uko uko,kama club pata uko uko kama msikitini mashallaaahh yumo ibadani saivi....
Kama biashara unafanya angalia wateja wako lazma kuna mke apo..

Habari Mm Ni Mwanaume Natafuta Mke Wa Kuoa Umr 24mpk 31,awe hajawah kuzaa wala kuolewa,awe mweupe.mimi na miaka 30 elimu yangu ni kidato cha sita naishi pwan.karibu kama upo serious na ombi langu
Mie nnae Mdogo Wangu, kwanza nambie unaishi kwenu Au kwako? Nyumba Ya kupanga Au yako? Dini Gani ? Unafanya kazi wapi? Una Gari Au Vespa ? Wewe ulisha wahi kuoa Au una mtoto wa nje? Kabila gani?