KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Apr 9, 2012 #1 Mwenye wimbo wa Nuruelly unaitwa tumeagizwa upendo anisaidie. Pamoja sana wana jf
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 152 May 3, 2016 #2 Mm mwenyew nautafuta kinoma kama umeupata nitumie
Bonesmen JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 929 Reaction score 994 May 3, 2016 #3 Mimi nashida na wimbo wa Neiba kisu kikali, Tundaman ft mpoto wimbo unaitwa mjomba hizo mbili
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 152 May 3, 2016 #4 Vp uo wa nuruel unao?
Bonesmen JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 929 Reaction score 994 May 3, 2016 #5 jay-mc said: Mm mwenyew nautafuta kinoma kama umeupata nitumie Click to expand... Niko na jf mobile nashindwa ku attach apa ebu ni email nkutumie huo wimbo kupitia email hii teslasenior@gmail.com
jay-mc said: Mm mwenyew nautafuta kinoma kama umeupata nitumie Click to expand... Niko na jf mobile nashindwa ku attach apa ebu ni email nkutumie huo wimbo kupitia email hii teslasenior@gmail.com
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 152 May 3, 2016 #6 Pouw kk nakuemail sasa hv
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 152 May 3, 2016 #7 Tayare nsha ku email
Faru dume JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 471 Reaction score 116 May 5, 2016 #8 Burudikaaa king of good music Attachments AUD-20160505-WA0000.mp3 AUD-20160505-WA0000.mp3 4 MB · Views: 432
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 152 May 5, 2016 #9 Jaman c huo ulio tuma wenyew aliuimba zamani chrous ina imba mm hv ni kama nan niseme na ringa majivuno kwa wenzangu mi na nimeumbwa tumeagizwa upendo ooooh ndio nyimbo ya nuruely nao utafuta na sio huu plz mwenye nao anisaidie
Jaman c huo ulio tuma wenyew aliuimba zamani chrous ina imba mm hv ni kama nan niseme na ringa majivuno kwa wenzangu mi na nimeumbwa tumeagizwa upendo ooooh ndio nyimbo ya nuruely nao utafuta na sio huu plz mwenye nao anisaidie
jay-mc JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 250 Reaction score 152 May 20, 2016 #10 Hatimae nimeupata hio apo nuruelly tumeagizwa upendo Attachments tumeagizwa-Search - Rubega - Swahili Music Platform[via torchbrowser.com] (1).mp3 tumeagizwa-Search - Rubega - Swahili Music Platform[via torchbrowser.com] (1).mp3 4.7 MB · Views: 478
Hashpower7113 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,353 Reaction score 2,144 Aug 30, 2017 #11 Ahsante Mkuu hata mimi nimeutafuta sanampaka nilipoona huu uzi, merci beaucoup
Victor Bravo JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 264 Reaction score 241 Sep 1, 2017 #12 Mimi natafuta nyimbo zote za renee ramira mwenye nazo atume hapaa Sent using Jamii Forums mobile app