Mwenzetu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 550 Reaction score 195 Aug 12, 2017 #1 Salamu kwenu. Natafuta wheel chair iwe mpya au used kwa ajili ya mgongwa mtu mzima mwanaume. Mwenye kuwa nayo naomba anitumie PM. Wasalaamu, Mwenzetu none
Salamu kwenu. Natafuta wheel chair iwe mpya au used kwa ajili ya mgongwa mtu mzima mwanaume. Mwenye kuwa nayo naomba anitumie PM. Wasalaamu, Mwenzetu none
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,258 Aug 12, 2017 #2 Unapatikana maeneo gani?ili wadau wajue jinsi ya kukufanikishia hili. -Ndumilakuwili-
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,319 Reaction score 77,073 Aug 12, 2017 #3 Mwenzetu said: Salamu kwenu. Natafuta wheel chair iwe mpya au used kwa ajili ya mgongwa mtu mzima mwanaume. Mwenye kuwa nayo naomba anitumie PM. Wasalaamu, Mwenzetu none Click to expand... Kama upo Dar, ukiwa Biafra kaa upande wa ilipo Ben Pub, kisha anza kutembea kama unaifuata Ben Pub ukiwa unakaribia kituo cha Mwendokasi utakuta kuna duka linauza vitu mbalimbali, baiskeli, magita, majokofu na wheel chairs wanazo.
Mwenzetu said: Salamu kwenu. Natafuta wheel chair iwe mpya au used kwa ajili ya mgongwa mtu mzima mwanaume. Mwenye kuwa nayo naomba anitumie PM. Wasalaamu, Mwenzetu none Click to expand... Kama upo Dar, ukiwa Biafra kaa upande wa ilipo Ben Pub, kisha anza kutembea kama unaifuata Ben Pub ukiwa unakaribia kituo cha Mwendokasi utakuta kuna duka linauza vitu mbalimbali, baiskeli, magita, majokofu na wheel chairs wanazo.