Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,932
- 1,179
Nenda Facebook mtafute mtu mmoja kwa jina LA Chris Lukosi utapata Mimi mwenyewe nazichanga zikitosha namtafuta Chris.Habarini wadau, kama nilivyoeleza hapo juu, natafuta wauzaji wa tractors, mpya au used in good condition, iwe reputable brand, kama Massey Ferguson, Kubota, John Deer e.t.c
Kama anafanya biashara kama unazofanya Maongezi nae alidhie utupie namba yake imeoendeza. Haya mambo ya pm watu wanaingizana kingiNi pm nkunganishe na jamaa mmoja anauza tractor Used toka uk na denmark bei zake nafuu
Ova
Yuko manzese pale Ana yard yakeKama anafanya biashara kama unazofanya Maongezi nae alidhie utupie namba yake imeoendeza. Haya mambo ya pm watu wanaingizana kingi
upo interested na hizo chuma?Yuko manzese pale Ana yard yake
Hakuna kuingizana kingi we unakwenda mwenyewe pale unangalia unafanya maamuzi yko
Ova
inategemea aina ya tractor pia ukubwa , zinaanza mil 20 , 35. 50 nna kuendeleaHivi hizo tractors used bei imekaaje
Kwa mfano HP 50inategemea aina ya tractor pia ukubwa , zinaanza mil 20 , 35. 50 nna kuendelea
tuchukulie ni MF, inaweza kuwa mil 25, kama ni mikononi mwa mbongo inaweza kuwa hata chini ya hapoKwa mfano HP 50
Sawa, nashukuru kwa kunipa mwangatuchukulie ni MF, inaweza kuwa mil 25, kama ni mikononi mwa mbongo inaweza kuwa hata chini ya hapo
pamoja mkuuSawa, nashukuru kwa kunipa mwanga