Natafuta wauzaji wa simu za jumla

Natafuta wauzaji wa simu za jumla

Kukuelekeza sawa ila namba hapo wengine wanakuwa sio waaminifu ww upo wapi kwa sasa
 
Habar zenu naomba kuuliza kwa Dar es Salaam wapi? Naweza pata simu za button za jumla jumla, protector, makava na betri na nk...

Me nipo Arushaa
Wapo kwenye vichochoro kati ya Aggrey na barabara ya Uhuru, mwanzo kabisa karibu na ilipokuwa roundabout ya Uhuru. Jinsi ya kufahamu, huwa hayana kabati la display za simu. Unakuta duka zima yamejaa maboksi ya simu

Aggey simu.JPG
 
View attachment 2049345

Kweli, hapo maduka ndio yapo kuna duka flan hivi nshanunua mara kadhaa japo Samsung moja ikazima
 
Kweli, hapo maduka ndio yapo kuna duka flan hivi nshanunua mara kadhaa japo Samsung moja ikazima
Simu nyingi za huko vichochoroni ni majanga. Tena simu kama Samsung ndiyo zipo mbaya kweli. Ulinunua mpya mpya? Ulinunua bei gani?
 
Ilikuwa mpya full boxed kabisa
Pole mkuu. Sasa ilizima kwa sababu ya shida gani? Au pengine ilikuwa ni hizi fake? Kuna simu nyingi tu ni fake. Nijuavyo ni kuwa Samsung genuine au iphone haiwezi kuleta matatizo from no where hasa inapokuwa mpya. Mimi mpaka sasa hivi nina zile iphone 5s za zamani kabisa na bado inafanya kazi vizuri sana sema nimeiweka kabatini kwani naona imepitwa na wakati
 
uzi unawachangiaji wachache sana siyo kwamba watu machimbo hawayajui hapana ila tu sisi waswahili huwa tunashirikiana kwenye " pisi kali, beer, sigala nk"
 
Back
Top Bottom