Natafuta waunga bundle za halotel?

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
837
Reaction score
1,381
Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel !

Mimi ni mteja mzuri…..

Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela.
uaminifu muhimu
 
Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel !

Mimi ni mteja mzuri…..

Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela.
uaminifu muhimu
GB 20 unauziwa kwa bei gani?
mimi niliuziwa kwa 22500.
 
Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel !

Mimi ni mteja mzuri…..

Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela.
uaminifu muhimu
0682886259
Mcheki huyo jamaa yuko smart sana ndo alinifungia router home mwambie no kakupa jamaa uliyemfungia router tabata mawenzi
 
Hiyo gharama ni 20 kwa 20k
Kuna mwingine yupo hapa JF siku ya kwanza aliniuzia GB 10 kwa 10,000.
Siku ya 2 akanipa GB 8.5 kwa 10,000 aliniambia wamepandishiwa bei.
Nataka nifatilie tigo kinara plus nasikia bei imepoa kidogo.
 
Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel !

Mimi ni mteja mzuri…..

Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela.
uaminifu muhimu
 
Attachments

  • Screenshot_20250503-233406.png
    872.7 KB · Views: 20
mcheki huyo jamaa huwaga ananiungia kila nikiishiwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…