Natafuta watu watatu wa kuanzisha nao biashara

embryo

Member
Apr 24, 2015
95
121
Natafuta watu watatu wa kuanzisha nao biashara ya kutengeneza wine kutokana na rosela na matikiti maji. If upo interested tuwasiliane, mm ni mtaalamu wa Chakula kutoka Sokoine University of Agriculture (Food Technologist)
CALL: +255 713469213
Best Winery to come!!!
 
Uko w

Uko wapi mkuu
 
Upatikanaji wa malighafi vipi???
 
Upatikanaji wa malighafi vipi???

Si umepewa number? Wataka aanze kutype hapa? Au hayo majibu akikupa hapa yatakusaidia kuamua? Hivi ili Ufanye investment malighafi ndo kitu cha maana tu? Waswahili Bwana?
 
Watu wanamawazo mazuri sana ya biashara, ila tatizo watu hawapendi ushirikiano.

Wanajifanya na uchungu wa kujiajiri lakini anapotokea mtu na kuweka idea mezani, watu wanaanza vimaswali vyao kama 100 hivi.

Number ya simu hipo hapo imewekwa, kama hupo interested jiunge na bando, pia na utapata more info.

Bila kuungana technically, marketing and financially tutabaki kuimba nyimbo za kujiajiri kila siku.

Na mwisho wa siku wote tutakua losers.
 
Avatar tamuuuu
Nimeshafanya majaribio mbalimbali ya formulations,
6391d9b08a12f5d9f40405879e5807d8.jpg

Hii nayo ni brand nyingine...
605e62c644c033386da703b5b74aad2f.jpg
 
wewe food techs/
how they store pears so that it can stay longer...???
Tunyanya mbulie tukuaminie..
 
Natafuta watu watatu wa kuanzisha nao biashara ya kutengeneza wine kutokana na rosela na matikiti maji. If upo interested tuwasiliane, mm ni mtaalamu wa Chakula kutoka Sokoine University of Agriculture (Food Technologist)
CALL: +255 713469213
Best Winery to come!!!
Mrejesho......team ishakamilika wakuu, nitawajulisha the progress of the b'ness
 
Mrejesho......team ishakamilika wakuu, nitawajulisha the progress of the b'ness
Mkuu nakutakia mafanikio.

Hii itatoa changamoto kwa wale wote wenye tabia ya kutaka kufanya biashara peke yao peke yao.

Wenye nyoyo zilizojaa choyo na roho inamuuma pindi anapoona mwenzake anafanikiwa.
 
Back
Top Bottom