M MIFUGOKILIMO SUPPORT Member Joined Mar 18, 2015 Posts 51 Reaction score 0 Sep 18, 2016 #1 Habari za siku nyingi wana JF Nataka kupack bidhaa za chakula, hivyo basi natafuta mtaalamu wa kutengeneza stixkers ili nibandike nembo na maelezo ya vidhaa zangu kibiashara. Kana uko tayari piga sasa nivi 0764 601903
Habari za siku nyingi wana JF Nataka kupack bidhaa za chakula, hivyo basi natafuta mtaalamu wa kutengeneza stixkers ili nibandike nembo na maelezo ya vidhaa zangu kibiashara. Kana uko tayari piga sasa nivi 0764 601903
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,583 Sep 19, 2016 #2 yaleke4d said: Karibu ofisin Click to expand... Ofisi yenu ipo wapi mdau?