amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,143 Reaction score 31,298 Jul 2, 2016 #1 Wadau tikiti zipo tayari hekari 2 aina sukari F1 zipo chato mjini.Makubwa kama gari ni tani 30 .
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,359 Jul 2, 2016 #2 amu said: Wadau tikiti zipo tayari hekari 2 aina sukari F1 zipo chato mjini.Makubwa kama gari ni tani 30 . Click to expand... daaa, sh ngapi? unajua sometimes unaweza nunua kitu sababu tu flan ndo anauza!
amu said: Wadau tikiti zipo tayari hekari 2 aina sukari F1 zipo chato mjini.Makubwa kama gari ni tani 30 . Click to expand... daaa, sh ngapi? unajua sometimes unaweza nunua kitu sababu tu flan ndo anauza!
P Plan Of Action JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 462 Reaction score 382 Jul 23, 2016 #3 amu said: Wadau tikiti zipo tayari hekari 2 aina sukari F1 zipo chato mjini.Makubwa kama gari ni tani 30 . Click to expand... au ulikuwa dalali amu?
amu said: Wadau tikiti zipo tayari hekari 2 aina sukari F1 zipo chato mjini.Makubwa kama gari ni tani 30 . Click to expand... au ulikuwa dalali amu?
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,096 Reaction score 22,818 Jul 23, 2016 #4 Hivi kwanini kila mtu sasa hivi anayelima anakimbilia matikiti.........hakuna kilimo cha.matunda mengine....
Hivi kwanini kila mtu sasa hivi anayelima anakimbilia matikiti.........hakuna kilimo cha.matunda mengine....
P Plan Of Action JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 462 Reaction score 382 Jul 23, 2016 #5 Samcezar said: Hivi kwanini kila mtu sasa hivi anayelima anakimbilia matikiti.........hakuna kilimo cha.matunda mengine.... Click to expand... kila mtu anayelima? mkuu umewaza kwa kina kweli ulichoandika?
Samcezar said: Hivi kwanini kila mtu sasa hivi anayelima anakimbilia matikiti.........hakuna kilimo cha.matunda mengine.... Click to expand... kila mtu anayelima? mkuu umewaza kwa kina kweli ulichoandika?