Haya mzigo huo hapo bei maelewano
Ila unakiswahili kizuri aljun.Aitosherezi iyo
Nimeuza sana bukoba hayo madira na kukopesha wa maofisini.
Mzigo natuma dar wananunua 10,500 kisa nauza 20,000.
well kama huna mwenyeji yatakupa tabu sana na hayo ya kwako ya 35 ndo kabisaaa
Duh 35000 huku madongo kuinama nitauza bei gani,haya Ahsante mkuu nilikua napita tu.