Natafuta wateja wa kuku wa nyama

Natafuta wateja wa kuku wa nyama

drndasika

Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
64
Reaction score
34
Kuku wa Nyama wanapatikana Dar, Kiluvya Madukani ni wazito Sana,Ninaomba kuunganishwa na wateja ,namba ni 0758918144
 
Hamjasema ni kisasa kienyeji au chotara na bei ungeweka
 
Mnakwama wapi? Mbona hamko wazi kutaja bei? Jiamini, andika bei! Kama ulisahau kuandika siku nyingine usisahau.

Mkoani mnatuma 😄😄
 
Back
Top Bottom