D dos un Member Joined Nov 24, 2015 Posts 24 Reaction score 9 Feb 19, 2016 #1 Habarini wadau. Nahitaji vifungashio vya mafuta ya nazi vilivyo na ubora wa hali ya juu ili kukidhi masoko ya ndani na nje. Mawasiliano yafanyike katika usi huu.
Habarini wadau. Nahitaji vifungashio vya mafuta ya nazi vilivyo na ubora wa hali ya juu ili kukidhi masoko ya ndani na nje. Mawasiliano yafanyike katika usi huu.
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Feb 19, 2016 #2 Nenda TBS Ubungo watakushauri na kukuelekeza mtengenezaji aliyepitishwa kwa viwango bora