Natafuta wataalamu wa ufugaji na wakulima

Natafuta wataalamu wa ufugaji na wakulima

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
916
Reaction score
933
Habari wa jukwaa!! Husika na kichwa cha habari pale juu, kuna wazo ambalo nimerifkiria nadhan watu wengi watafaidika kuhusiana na elimu ya mambo ya ufugaji na kilimo ambao watu wengi tunataman kujiusisha kwa bahati mbaya hatuna elimu ya kutosha, kutokana na tatizo hilo nilikuwa naomba kwa wataalam wa kilimo na ufugaji au wajasiriamali ambayo wanafanya shughul hizo kwa kuandaa article zao kwa lengo la kujitangaza kama biashara na kuelimisha watu kuhusu ufugaji na kilimo kupitia jukwaa(platform) ambalo ntailengeneza kama watu wengi(Wataalam) watajitokeza kuelimisha raia. Ni hayo tu asantee.

********************Naomba utu mzima utumike katika ushauri***************************************
 
That is good idea but there are platforms that provide such opportunities check here Mkulima Mbunifu


Ofcoz kama znataka znarelat ila idea yangu ni tofaut kidogo yaan ni ivi kwa mfano mjasiriamali wa mifugo maybe nguruwe, kwanza anabid atoeushaur jins ya kufuga nguruwe then anatangaza business.
 
Back
Top Bottom