Natafuta soko la mayai, ninauwezo wa kuzalisha try 450 za mayai kwa siku, mayai ni wa kuku wa kisasa lakini walio boreshwa wanataga mayai yenye kiini cha njano, ko hayana utofauti na mayai ya kienyeji. Size ya mayai ni makubwa, masafi na yanalingana yote kwa size. Trey moja ni 11,000 Tsh, nipo kigamboni Temeke. Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0735200510.
Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.
KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Wa mbali unaletewa usafir upo, pia haya mayai huuzi kama ya kisasa, utauza kwa bei ya mayi ya kienyeji lakini kwa bei pungufu kidogo.Punguza bei hiyo mkuu ni kubwa sana labda kama unataka kuwauzia watu wa huko kigamboni maana wa mbali akiingiza na usafiri ni loss kwake mfano muuza duka kwa hiyo bei labda auze kwa jero ambayo itakuwa hasara kwake maana yai sasa hivi ni 400 na akiuza 400 ni hasara pia maana faida yake ya buku itakuwa imetumika kwenye usafiri
Bei ya sasa ni 9000 - 9500
Natafuta soko la mayai, ninauwezo wa kuzalisha try 450 za mayai kwa siku, mayai ni wa kuku wa kisasa lakini walio boreshwa wanataga mayai yenye kiini cha njano, ko hayana utofauti na mayai ya kienyeji. Size ya mayai ni makubwa, masafi na yanalingana yote kwa size. Trey moja ni 11,000 Tsh, nipo kigamboni Temeke. Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0735200510.
Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.
KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Sawa mkuuWa mbali unaletewa usafir upo, pia haya mayai huuzi kama ya kisasa, utauza kwa bei ya mayi ya kienyeji lakini kwa bei pungufu kidogo.
Karbu tukuhudumie.
Hawa kuku nimefuga kitalamu, wanatumia vyakula asili na nyasi. Ukihitaji ntakupa maelekezo ya kutosha.Hongera mkuu kwa biashara. Nadhani wahitaji watakutafuta. Lakini swali langu ni moja " je mayai yenye kiini cha njano ni asili yao au ni aina ya chakula/virutubisho wanavyokula" Au mkuu unawalisha nini ili kupata kiini cha njano!
Asante
Mayai chotaraNatafuta soko la mayai, ninauwezo wa kuzalisha try 450 za mayai kwa siku, mayai ni wa kuku wa kisasa lakini walio boreshwa wanataga mayai yenye kiini cha njano, ko hayana utofauti na mayai ya kienyeji. Size ya mayai ni makubwa, masafi na yanalingana yote kwa size. Trey moja ni 11,000 Tsh, nipo kigamboni Temeke. Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0735200510.
Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.
KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Watu mko na mchezo aiseeeKiwango cha kuletewa nyumbani ni kipi maana naweza kuagiza mayai mawili uniletee huku Nyumbani.