Thomas laija
Member
- Oct 20, 2019
- 8
- 4
MKUU,Habari wakuu,naitwa Thomas naptkni bunju natafuta wanunuzi wa mayai ya kisasa,ni makubwa na yana kiichi cha njano ofa yangu ni 5500 derivery ni juu yang mimi mwenyew ni mfugaji mayai natoa shamba trey 500 kila siku.Kwa mawasiliano 0688802045,0621290458.Ahsanteni.
Kabisa kaka yaan haina bei maalum muda wowote yanashuka na kupanda.Sijui Kwa nini soko la mayai linabadilikaga Sana ,wiki mbili zijazo unaweza shangaa imefika 7000
Habari wakuu, naitwa Thomas napatikana Bunju natafuta wanunuzi wa mayai ya kisasa, ni makubwa na yana kiichi cha njano ofa yangu ni 5500 derivery ni juu yangu mimi mwenyewe ni mfugaji mayai natoa shamba trey 500 kila siku. Kwa mawasiliano 0688802045, 0621290458. Ahsanteni.
nchki mkuu text/call/whatsapp by 0688802045 au 0621290458 na mkoani tunatumaMie ni mpenzi sana wa mayai makubwa na yenye vvini vya njano sema sipo DSM.