Natafuta wanaopima madini ya gold katika eneo

Natafuta wanaopima madini ya gold katika eneo

fuvu la paka

Senior Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
133
Reaction score
76
Kichwa cha habari chajitosheleza. Wananzengo nimeamua kujiloweka kwenye madini ya Gold.

Naomba msaada kwa yoyote anayemfahamu au kuifahamu kampuni hiyo. Njoo PM
 
Back
Top Bottom