Myelife
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 164
- 107
Ndugu wanajamvi,
nina kampuni ya Electromechanical kulingana na changamoto nilizopitia nimeona ni jambo zuri na wakati muafaka kupata wanahisa wengine kutoka popote pale katika uso wa dunia.
Watu ninao hitaji ni shart wawe na sifa kuu 2. wawe wanaweza kufanya kazi kwa mikono yao na wawe na uzoefu wa kutosha (I need Engineers/Technician who can put theirs hand in)
kulingana na aina ya kazi ni lazima watu hao wawe na umahiri katika maeneo makuu mawili
1) Umeme (Industrial) Levo ya degree
2)Mechanical (Qualified Welder and fitter) Mechanical Engineer/Technician
Expirience ni jambo nitakalolipa kipaumbele kwa asilimia 50.
Kwa idadi nahitaji watu 2.
Sifa zinginezo
-wawe wanaweza kutafuta kazi na kuwashawishi watu/makampuni kutupatia kazi
-wawe wanaweza kujitoa kwa hali na mali kwa kazi za kampuni,
=waweke kampuni mbele kama mali yao na sio part time job
mtu yeyote aliye ajiriwa katika kampuni nyingine hatopewa nafasi kabisa.
shughuli zetu ni -
Wateja wetu ni
hisa zitakazo gawanywa ni 40%.
Lengo la kutaka wanahisa ni kuongeza nguvu katika utendaji kazi na kwa tahadhari tu ni kuwa kwa sasa hatuna kazi, hivyo naomba watu wasije kwa tamaa ya kupata kazi. it is a very very tough position.
Uwekezaji uliofanyika mpaka sasa.
mpaka sasa uwekezaji uliofanyika ni kufahamika sokoni, na kuwa na jina sokoni.
wanahisa watabidi watuambie je wao wakiingia watakuwa na mchango gani kwa kampuni,
katika kazi tajwa hapo juu, vifaa/office ya kufanyia kazi vipo na vinaweza kuendesha hata site 2 mpaka 3 kwa wakati mmoja.
Tahadhari, Ningependelea kufanya kazi na watu wenye tabia za wakenya, makaburu au wajerumani /Waingereza japo watakuwa watanzania kwa utaifa wao
mwanzo wa kutoa hoja.

- Parts Supply/ machines/generators
- Industrial piping
- metal fabrication
- electrical supply
- consultancy
- industrial automation
- plumbing
- metal works.
Wateja wetu ni
- Food industry
- Beverage industry
- chemical industry