Huyu ni mimi kabisa, ila hapo kwenye kutafuta marafiki sidhani kama ni sahihi. Rafiki hatafutwi, urafiki unajengwa na mazingira yanayokukutanisha na huyo rafiki. Binafsi nenjoy maisha yangu, sioni kama napungukiwa kitu kuwa mwenyewe muda mwingi ila nnachoona kwako ni kama una upweke so huenda siyo introvert ila una shida sehemu.Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.
0675173464 watssap
Shida iko wapHuyu ni mimi kabisa, ila hapo kwenye kutafuta marafiki sidhani kama ni sahihi. Rafiki hatafutwi, urafiki unajengwa na mazingira yanayokukutanisha na huyo rafiki. Binafsi nenjoy maisha yangu, sioni kama napungukiwa kitu kuwa mwenyewe muda mwingi ila nnachoona kwako ni kama una upweke so huenda siyo introvert ila una shida sehemu.
Au coDah kevoo nlipoteza namba yako......
😀😀😀
AU coToka magetoni
Nilivokuwa introvert akili nyingi naona uvivu mpaka kutyp kiufupi sijawahi kua na rafiki wa kindaki ndaki katika maisha
AU coNilivokuwa introvert akili nyingi naona uvivu mpaka kutyp kiufupi sijawahi kua na rafiki wa kindaki ndaki katika maisha yangu
Kwa jina la muungano
Pesa ndio rafiki wa kweli
Introvents don't share feelings🤔😪Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.
0675173464 watssap
Introvents don't share feelings🤔😪Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan yanayousiana na hii personality.
0675173464 watssap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awapige DuduUnataka uwafanyaje
Wee em apiaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Awapige Dudu