Natafuta Wakili Mzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Wakili Mzuri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngisibara, Aug 22, 2009.

 1. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mimi ni mvuta Sigara maarufu wa aina ya Sportsman inayotengenezwa na Tanzania Cigarette Company (TCC), kama miezi miwili iloyopita nimekuwa na uzito kwenye kifua, pumzi kubana na kukohoa mara kwa mara,lakini jana niligundua kuwa nimekuwa nikivuta Sigara inayoitwa Portsman kwa kipindi kirefu bila kujua na naamini imesababishwa na hii brand isiyokuwa yangu na kwa hilo nataka kuwafungulia mashtaka hawa Ndugu zetu, Hivyo basi natafuta wakili mzoefu wa shughuli kama hii ili niweze kupata fidia kwa maradhi waliyonipa hawa jamaa,Ushahidi pekee nilionao ni maganda ya Sigara niliyotumia na ripoti ya daktari inayoonyesha kuwa naumwa kifua pamoja na X-ray
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Unataka kuwashtaki kwa lipi hasa?
   
 3. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,199
  Likes Received: 520
  Trophy Points: 280
  ONYO:UVUTAJI SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.
  Acha ujinga,utajiri haupatikani kwa jinsi hiyo, unavuta sigara ukijua kuwa ni hatari kw afya yako, I AM VERY SORRY,Isijekuwa ww ni mwafrika kwa sababu wengi wetu hatupendi kusoma si ajabu unajikaanga tuu kwa kuchukua sigara bila kusoma maandishi hata kama ni 'smallprint',bado unawajibu wa kuyasoma...sitashangaa hata maganda unayosema unayo 'anyway maganda sio ushahidi wa kuvuta na kuathirika na sigara'hujui yana maandishi gani.
   
 4. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,199
  Likes Received: 520
  Trophy Points: 280
  yaani mm niyevuta sigara najua kupitia matangazo ya watengenezaji juu ya mabadiliko ya brand name ya sportsman,mvutaji maarufu hujui,acha kuvuta unalazimisha,ungekuwa mvutaji maarufu ungekuwa unajishirikisha na sigara zenyewe.kama S ilikuwa ndiyo kinga yako ya sumu kwenye sigara,unayohaki ya kuwashitaki kuondoa kinga yako kwa kubadili brand name toka SPORTSMAN kuwa PORTSMAN
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  pole sana.
   
 6. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  lakini pakti ya sigara si imeandikwa kbs.Sigara inaua hivyo wewe subiri tu siku zako
   
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Sasa utamshitaki yupi hapo mkuu,mtengenezaji wa Sportsman au wa hiyo nyingine Portsman....Halafu kwenye Pakiti ya Sigara kuna Onyo: 'Uvutaji wa Sigara ni Hatari kwa Afya yako',we hukuliona hilo????,kimsingi hapa imekula kwako aisee
   
 8. K

  Kibori Member

  #8
  Aug 23, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu ! Wakili unawezakumpata lakini ...... Kosa dhidi ya TCC ni nini ? Kwamba umepata madhara kwa uvutaji sigara au Portsman sigara imekuletea matatizo ? Wakili hatengenezi makosa au kosa bali ni sheria ndio inasema kosa ni nini ? Kwa mfano, wewe ni mvutaji wa Sportsman....... maana yake nini ?, unavuta sigara ya aina ya Sportsman lakini baada ya kuanza kujisikia tofauti kwenye afya yako ukagundua wewe mwenyewe umebadili kuvuta sigara aina nyingine ya Portsman ? sasa nani mwenye shida ? Una Mkataba wako na TCC ? Au wanakuleteaga nyumbani ? Kama unamkataba na TCC kuwa wakuletee aina ya sigara ya Sportsman nyumbani kwako au unamkataba na TCC wakukuchunga usivute aina nyingine ya sigara* hapa namaanisha kwamba wewe mwenyewe hujiwezi sasa imebidi ukawaomba au ukaingia mkataba na TCC wakulinde usivute sigara ya aina nyingine yoyote isipokuwa Sportsman ? Kama ndivyo . Nitafute utakuwa na kesi nzuri dhidi ya TCC bila kujali ONYO: Uvutaji Sigara ni hatari......kwa afaya . Kama huna mkataba kama huo, halafu basi kosa ni lako mwenyewe na huna wa kumlaumu pole sana .
   
 9. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  utajishitaki mwenyewe kwa ujinga wako.
   
Loading...