Natafuta waiter.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kweli tunahitaji Elimu.
 
Elimu ya watu wazima inahitajika tafadhali Baba Jesc
 
Huyo no msingida tuuu undo wanapenda kazi hizo
 
Mbona hamna shida hapo, mambo safi tu, hayo maandishi hayabadilishi efficiency kwenye kazi..
 
Wankumbusha zamani mzee wangu alikuwa hataki shamba boy anauyejua kusoma na kuandika. Na kweli it was working, vilaza hawakuwa na longo longo[emoji23] [emoji23]
 
Anafaa sana huyo, mathematics imenyooka inatosha, hayo mengine mbwembwe tu, kwani ye mwandishi wa habari?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…