Nimemtumia mtu atakupigiaNatafuta wahudumu wa kike wanne, warembo, wenye mvuto wa kuhudumia vinywaji.
Bar ipo Tuangoma karibu na Funcity, maslahi ni mazuri sana.
Kwa mawasiliano nicheki 0713322856.
Kigamboni huku tuangoma kama unaenda funcity mkuuKazi wap
nikiwa mbali malazi vpKigamboni huku tuangoma kama unaenda funcity mkuu
Daah! Hiyo avator yakoMbali na huo urembo wenye mvuto hakuna vigezo vingine mkuu..

Imefanyaje mkuuDaah! Hiyo avator yako![]()
Basi tu, Nimejikuta nawaza kwenda funcity kuogeleaImefanyaje mkuu