NATAFUTA WAHUDUMU WA BAR

NATAFUTA WAHUDUMU WA BAR

mullah 2

Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
6
Reaction score
0
Natafuta wahudumu wa bar wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 27 wawe wenye umbo zuri na wachapa kazi bar ipo ubungo dar es salaam contact 0712228457
 
Umbo zuri tena? Unataka kuwauza au?

Kwenye ukoo wako hakuna wenye maumbo mazuri uwape ajira.
 
Huku kwetu wapo sema sura zao kama kina mwajuma ndala ndefu au asha ngedere
 
Natafuta wahudumu wa bar wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 27 wawe wenye umbo zuri na wachapa kazi bar ipo ubungo dar es salaam contact 0712228457
Hauna ndugu wa kike uwape kazi hyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom