Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Mimi nafaa kuwa mrithi! Shida yangu kubwa Mi Mlevi! Ukinipa KILINGE ipo siku ntawaroga SERENGETI na TBL ije kuwa majuto

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
mshana kwani huna ata watoto uwarithishe ayo manyangaa yako
 
Sasa kama umeamua kumrudia mola wako kwa nini unataka kurithisha watu mikoba yako ya kichawi? Si ungeiharibu tuu,ili wewe ubaki ma mola wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…