Natafuta wa kujenga naye maisha

Natafuta wa kujenga naye maisha

Joined
Sep 11, 2016
Posts
31
Reaction score
27
Nshachoka na stress za kuumizwa
Na wenye ndoa zao!
Ni mkristo ila sio mlokole!
Naishi Ng'wanza,
Ni mjasiriamali naomba aliye serious aje Pm.
Sipendi kelele wala sijalibiwi!
 
Kwa Uandishi Huu Wa Kibabe Namna Hii Binafsi Sizani Kama Tutawezana.
 
Naomba kuuliza; hivi humu ndani aweza kupatikana mwenza wa ukweli au hata ni maigizo tu???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom