L Lovenita Member Oct 2, 2013 23 3 Nov 23, 2014 #1 wadau natafuta vyumba viwili vya kupanga maeneo ya mwenge yanayotazamana name barabara za chuo na Sam nujoma. Maji yawepo na gari ifike bajeti yangu ni 100,000-120,000 contact 0718 587667
wadau natafuta vyumba viwili vya kupanga maeneo ya mwenge yanayotazamana name barabara za chuo na Sam nujoma. Maji yawepo na gari ifike bajeti yangu ni 100,000-120,000 contact 0718 587667
M MWANANCHI MUSOMMMA JF-Expert Member Nov 17, 2010 328 50 Nov 23, 2014 #2 Karibu mbagala,utapata tena barabarani mkuu_PM ME HERE..
E ELAFU JF-Expert Member Jun 23, 2014 410 150 Nov 23, 2014 #3 MWANANCHI MUSOMMMA said: Karibu mbagala,utapata tena barabarani mkuu_PM ME HERE.. Click to expand... Daaah... Nimeishia kucheka tu. Kutoka Mwenge hadi Mbagala?
MWANANCHI MUSOMMMA said: Karibu mbagala,utapata tena barabarani mkuu_PM ME HERE.. Click to expand... Daaah... Nimeishia kucheka tu. Kutoka Mwenge hadi Mbagala?
Emma. JF-Expert Member Jun 25, 2012 19,935 5,558 Nov 23, 2014 #4 kuna ambayo ipo kodi yake kwa mwenzi laki tatu