C chigwiye JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 352 Reaction score 59 Oct 16, 2011 #1 Wadau natafuta vyumba viwili na sebule vya kuishi mitaa ya kinondoni Ada estate,manyanya,biafra.Mwenye kujua vinapatikana please anipe namba yake ya sim hapa
Wadau natafuta vyumba viwili na sebule vya kuishi mitaa ya kinondoni Ada estate,manyanya,biafra.Mwenye kujua vinapatikana please anipe namba yake ya sim hapa