Natafuta vyumba na vitu vya ndani

Natafuta vyumba na vitu vya ndani

newbie

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
216
Reaction score
48
Wadau natafuta chumba kimoja na sebule au kama bila sebule basi kiwe kikubwa self contained,dar es salaam eneo karibu na barabarani. Pia anayeuza kitanda,friji,kapeti,meza,jiko,etc
 
Wadau natafuta chumba kimoja na sebule au kama bila sebule basi kiwe kikubwa self contained,bei isizidi laki kuhusu mahali ni popote karibu na barabarani. Pia anayeuza kitanda,friji,kapeti,meza,jiko,etc tuwasiliane. newbietz@yahoo.com

Mwanza maeneo ya Igogo vipi? Kuna Chumba, Sebule na Jiko, Self!
 
Kigogo pale karibu na barabara kipo kimoja self contained na sebule yake na kila kitu ndani kasoro TV tu.
Note: Mafuriko yakitokea ni juu yako
UPO TAYARI?
 
Wadau natafuta chumba kimoja na sebule au kama bila sebule basi kiwe kikubwa self contained,dar es salaam eneo karibu na barabarani. Pia anayeuza kitanda,friji,kapeti,meza,jiko,etc tuwasiliane. newbietz@yahoo.com

Kuna nyumba Ubungo Riverside mita 50 au 70 toka Mandela Rd. Ipo kushoto kama unaelekea Buguruni. Ni-PM kwa details zaidi.
 
Kama ni design hiyo sikushauri,
ukifumaniwa unabaki mnatoleana macho na kula kichapo cha mbwa mwizi coz huna pa kuuficha mpango wa kando!

Teh teh kwahyo huwa unanunua vitu kwa kujiandaa na majanga yote.aisee watu mna mbinu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom