Wadau natafuta chumba kimoja na sebule au kama bila sebule basi kiwe kikubwa self contained,dar es salaam eneo karibu na barabarani. Pia anayeuza kitanda,friji,kapeti,meza,jiko,etc
Mi nauza friji. Gesi imeisha. Mia
Mm nauza shokest karibu ujionee
bei sh ngapi?Aisee minauza kitanda 6kwa6 nagodoro lake mninga
Aisee minauza kitanda 6kwa6 nagodoro lake mninga
bei sh ngapi?
siuzi kimoja kimoja nivyazaman vyote mkuu vipo temeke dar bei 280,000sh ngapi kitanda peke yake?
godoro ni aina gani? limetumika miezi ngapi?
sh ngapi godoro peke yake?
sh ngapi kitanda na godoro yani bei ya jumla?
vinapatikana wapi/upo wapi?
bei gani?
Mkuu umepata chumba?
Makichi yapoyakuka watu wawili yapo maeili bei laki3 sipunguz