Tuwasiliane mkuu, ninayo iko bomba sana ila nataka niachane na biashara ya bajaj make kila mwendeshaji nayemwajiri anakuwa zurumati, harudishi hesabu. nakutumia namba ya simu kwenye pm
Mitarawanda ni viatu asilia hususan watu wa pwani na hutengezwa kwa mbao Mkuu ,ilikuwa nitowe ufafanuzi zaidi kwani nilipitikiwa kukumbuka kuwa kuna wengi wajawahi kusia au hata kuviona .
Umenikumbusha mbali sana kwani ninakumbuka kwa bibi yangu kwenye mlango wa ****** [nje] ilikuwepo hapo na ilikuwa marufuku kuingia maliwatoni bila mitarawanda.
Kwa Dar sijui ukaulize kwa toti mtaa wa uhuru na sikukuu kama bado yupo [duka la madawa ya kienyeji la miaka zaidi ya 50]

Viatu hivi unaweza ukavipata Tanga ( bara bara ya kumi ) karibu na msikiti wa ijumaa
mara ya mwisho pale Dar niliviona karibu na mtaa wa Aggrey lakini siku ni nyingi sana
jaribu kupata mtu wa Tanga ataweza kukutafutia (ni viatu vya mbao tupu na vinatumika kwendea ****** tu !