Mkuu mimi nina plot 2 mapinga darajani (sqm 2000,bei 55mil na sqm 900,bei 30mil),Maeneo ninayo pendelea zaidi!
@@upande wa Morogoro road kuanzia
miembe saba hadi Mlandizi
iwe km1 kutoka barabarani!
@@upande wa Bagamoyo road kuanzia
Kizuiani hadi Mapinga shule.