natafuta VITZ

natafuta VITZ

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
247
wadau habari natafuta vitz used ama hata mpya bei nzuri. Pesa ipo cash tafadhali ni pm. Hata kama ni Rav 4 milango 3
 
VITIS ndy nini mkuu, au ulimaanisha VITZ?
 
Duuh ht gari unayotafuta hujui inaandikwaje..
 
Mkuu umejaribu kwenye showrooms umekuta hakuna? Pesa umesema si tatizo, sasa cha kukufanya utafute iliyo mikononi mwa watu ni nini?
 
Vitz ya mwaka 2000,rangi dark blue,T226BFY,km 65800,bei 6.5 M.Nitafute 0719416969
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom