kuna watu wanapenda kununua vitu kwa watu hata kama wanajua vinapouzwa, hivi haya ni mazoea au?? kuna kila wakati anaunua simu/fridge/gari kwa watu ilihali angeweza kupata kitu kipya na kizuri dukani kwa bei sawa na hiyo.
Kumbe Vitz au corolla...
Mie nauza swift nimeitumia miezi mi3,haina mkwaruzo wala kasoro yoyote! Nataka kubadili gari.
Kwa atakaeitaka Sh 8.5m bila dalali,na kwa malipo ya mara 1.
Ukiitaka nitumie pm.